ANGALIZO: Tovuti hii inatoa huduma kwa kufuata/ kulinda sheria za uandishi hasa kwa kutumia P.Domain Resources.
Nyota na Hatima ya mtu : Mwongozo Kamili wa Kusoma Ishara zote za Nyota yako
Sh 6,500
Kitabu hiki kinakutambulisha katika misingi ya astrology kwa lugha rahisi ya Kiswahili. Ndani yake utajifunza jinsi watu wanaofanya astrology hutafsiri ishara za zodiac, birth chart, sayari na constellations.
Kitabu hiki kinajumuisha:
- Historia ya Astrology
- Historia ya Zodiac
- Ishara 12 za Zodiac
- Maana ya kila Zodiac Sign
- Sun Sign
- Moon Sign
- Rising Sign (Ascendant)
- Birth Chart
- Natal Chart
- Sayari katika Astrology
- Elements nne
- Modalities
- Houses
- Aspects
- Constellations
- Jinsi ya kusoma Birth Chart
- Jinsi ya kutambua Zodiac Sign
- Mifano ya tafsiri za zodiac
- Maswali yanayoulizwa mara nyingi kuhusu astrology
Kitabu hiki kinafaa kwa wanaoanza kujifunza astrology pamoja na wasomaji wanaotaka kufahamu mfumo wa zodiac kwa undani.
Kumbuka: Astrology ni mfumo wa imani na tafsiri za kitamaduni. Haijathibitishwa kisayansi kuwa inaweza kutabiri maisha au hatima ya mtu kwa uhakika.

Reviews
There are no reviews yet.