ANGALIZO: Tovuti hii inatoa huduma kwa kufuata/ kulinda sheria za uandishi hasa kwa kutumia P.Domain Resources.
Mambo Muhimu Tunayojifunza Tukiwa Tumechelewa
Sh 7,500
Mambo Muhimu Tunayojifunza Tukiwa Tumechelewa ni kitabu kinachokusaidia kutafakari kanuni na ukweli muhimu wa maisha ambao mara nyingi watu huuelewa baada ya kupitia uzoefu mgumu.
Katika maisha, baadhi ya mambo tunayajifunza kupitia makosa, kupoteza fursa, mahusiano yaliyovunjika, maamuzi mabaya, matumizi mabaya ya muda na uzoefu mbalimbali. Lakini si lazima kila somo ulipitie mwenyewe.
Kitabu hiki kinakupa nafasi ya kujifunza mapema kutokana na uzoefu na hekima, ili uweze kufanya maamuzi yenye busara zaidi.
Kitabu hiki kinakuletea mambo muhimu kuhusu maisha ambayo watu wengi huyatambua baada ya muda, baada ya kufanya makosa au baada ya kukumbana na changamoto. Jifunze mapema, chukua tahadhari na epuka majuto yasiyo ya lazima.






Reviews
There are no reviews yet.