Sh 6,500

Jinsi ya Kumsoma Mtu Kama Kitabu

Je, ungependa kuelewa watu kwa haraka zaidi? Kitabu hiki kinakupa mbinu zinazotumiwa katika saikolojia na mawasiliano kuelewa tabia, hisia, lugha ya mwili na namna watu wanavyowasilisha ukweli au kuficha hisia zao.

Utajifunza:

  • Kutafsiri lugha ya mwili
  • Kutambua ishara za uongo
  • Kuelewa tabia mbalimbali za watu
  • Kujenga mahusiano bora
  • Kufanya maamuzi sahihi katika biashara
  • Kuongeza uwezo wa mawasiliano
  • Kutambua nia na motisha za watu
  • Kukuza emotional intelligence
  • Kuelewa psychology ya kila siku

Kitabu hiki kinafaa kwa:

  • Wafanyabiashara
  • Wanafunzi
  • Wafanyakazi
  • Viongozi
  • Wazazi
  • Walimu
  • Wauzaji
  • Wajasiriamali
  • Mtu yeyote anayependa kuelewa tabia za binadamu.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “”

Your email address will not be published. Required fields are marked *