ANGALIZO: Tovuti hii inatoa huduma kwa kufuata/ kulinda sheria za uandishi hasa kwa kutumia P.Domain Resources.
Sh 6,500
Jinsi ya Kumsoma Mtu Kama Kitabu
Je, ungependa kuelewa watu kwa haraka zaidi? Kitabu hiki kinakupa mbinu zinazotumiwa katika saikolojia na mawasiliano kuelewa tabia, hisia, lugha ya mwili na namna watu wanavyowasilisha ukweli au kuficha hisia zao.

Utajifunza:
- Kutafsiri lugha ya mwili
- Kutambua ishara za uongo
- Kuelewa tabia mbalimbali za watu
- Kujenga mahusiano bora
- Kufanya maamuzi sahihi katika biashara
- Kuongeza uwezo wa mawasiliano
- Kutambua nia na motisha za watu
- Kukuza emotional intelligence
- Kuelewa psychology ya kila siku
Kitabu hiki kinafaa kwa:
- Wafanyabiashara
- Wanafunzi
- Wafanyakazi
- Viongozi
- Wazazi
- Walimu
- Wauzaji
- Wajasiriamali
- Mtu yeyote anayependa kuelewa tabia za binadamu.

Reviews
There are no reviews yet.