ANGALIZO: Tovuti hii inatoa huduma kwa kufuata/ kulinda sheria za uandishi hasa kwa kutumia P.Domain Resources.
China Supplier Connection – Masupplier Halali wa Bidhaa Mbalimbali China
Sh 7,500
Pata China Supplier Connection, mwongozo wa kupata masupplier halali wa bidhaa mbalimbali China kwa wafanyabiashara Tanzania. Jifunze jinsi ya kupata suppliers na kuagiza bidhaa kutoka China.
China Supplier Connection ni mwongozo kwa wafanyabiashara Tanzania wanaotafuta masupplier halali wa bidhaa mbalimbali kutoka China. Kitabu kinakusaidia kuelewa namna ya kutafuta suppliers, kuchagua wasambazaji wanaoaminika na kujenga connection za biashara kati ya China na Tanzania.
Ikiwa unatafuta masupplier wa China Tanzania, bidhaa za kuagiza kutoka China au unataka kuanzisha biashara ya ku-import bidhaa, kitabu hiki ni rasilimali muhimu ya kuanzia.






Reviews
There are no reviews yet.