Fursa Adhimu Karne ya 21 Fursa Ambazo Wengine Hawazioni Tanzania zama hizi

Sh 6,300

Fursa Adhimu Karne ya 21 ni kitabu kinachoeleza jinsi ya kutambua na kutumia fursa zinazopatikana Tanzania katika biashara, ajira, teknolojia, kilimo, uwekezaji na uchumi wa kidijitali. Kimeandaliwa kwa lugha rahisi na kinafaa kwa wanafunzi, vijana, wafanyakazi na wajasiriamali.

Gundua fursa za biashara, ajira, uwekezaji, teknolojia na kilimo ambazo watu wengi hawazioni. Kitabu cha Fursa Adhimu Karne ya 21 kinakupa maarifa ya kutambua na kutumia fursa za mafanikio Tanzania.

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Fursa Adhimu Karne ya 21 Fursa Ambazo Wengine Hawazioni Tanzania zama hizi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *