ANGALIZO: Tovuti hii inatoa huduma kwa kufuata/ kulinda sheria za uandishi hasa kwa kutumia P.Domain Resources.
Saikolojia Hatari ya Giza
Sh 7,500
Saikolojia Hatari ya Giza ni mwongozo unaokusaidia kuelewa mbinu za manipulation, gaslighting, ushawishi wa kisaikolojia, lugha ya mwili na tabia za binadamu ili uweze kutambua ishara za udanganyifu na kufanya maamuzi bora katika maisha.
Saikolojia Hatari ya Giza ni kitabu kinachochunguza mbinu zinazoweza kutumiwa na baadhi ya watu kuwashawishi au kuwapotosha wengine kupitia saikolojia na mawasiliano. Lengo lake ni kuongeza uelewa wa msomaji ili aweze kutambua ishara za manipulation, gaslighting, udanganyifu na matumizi ya lugha ya mwili katika mazingira mbalimbali.
Ndani ya kitabu hiki utajifunza:
- Maana ya Dark Psychology
- Manipulation ni nini
- Gaslighting ni nini
- Mbinu za ushawishi wa kisaikolojia
- Lugha ya mwili
- Kutambua ishara za udanganyifu
- Tabia za watu wenye ushawishi mkubwa
- Emotional Intelligence
- Mbinu za kujilinda dhidi ya manipulation
- Kujenga mahusiano yenye afya
- Saikolojia katika biashara
- Saikolojia katika uongozi
- Namna ya kufanya maamuzi kwa utulivu
Kitabu hiki kimeandaliwa kwa lugha rahisi na kinafaa kwa wanafunzi, wafanyabiashara, viongozi, wazazi, wanandoa, wafanyakazi na yeyote anayependa kujifunza kuhusu saikolojia ya binadamu.






Reviews
There are no reviews yet.